Machweo nyuma ya majengo.

CORONA: WAGONJWA WAPYA SITA WARIPOTIWA ZANZIBAR

Kati ya Wagonjwa hao, Watano ni Wanaume na mmoja ni Mwanamke. Wana umri kati ya miaka 23 na 58.

Wote ni Watanzania na hawana historia ya kusafiri nje ya nchi kwa siku za karibuni.